Burudani

Brandy ndani ya Kampala

 

Inasemekana kwamba nyota wa R&B kutoka Marekani, Brandy Rayana Norwood aka Brandy, yupo mbioni kuangusha show ya nguvu jijini Kampala mnamo Desemba mwaka huu.

Kwa mujibu wa Mixed Tape Ltd, kampuni ambayo inayoratibu show hiyo,ni mambo machache tu yamebaki kufanikisha ujio huo.

Mapromota wa kibongo mpo hapo??

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents