Michezo

Brazil 2014: Timu zote 4 za kundi G zina nafasi ya kusonga mbele, Ghana watavuka?

Kuna nafasi kwa kila timu katika kundi G linalojumuisha timu za Ghana, Ureno, Marekani na Ujerumani katika kombe la dunia linaloendelea nchini Brazil kuingia kwenye hatua ya 16.

article-2665349-1F07809600000578-12_634x405

Msimamo wa mwisho utafahamika pindi Marekani itakapokutana na Ujerumani na Ghana itakapovaana na Ureno Alhamis hii. Ujerumani na Marekani zote zimeshinda mara moja huku Ghana na Ureno zote zikiwa na pointi moja na wana matumaini ya kuendelea kama Ujerumani na Marekani zikitoka sare.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents