Michezo

Brazil World Cup: Hakutakuwa na hotuba yoyote kwenye sherehe za ufunguzi

Shirikisho la soka duniani, FIFA, limetangaza kuwa hakutakuwa na hotuba yoyote kwenye sherehe za ufunguzi wa kombe la dunia nchini Brazil mwezi June mwaka huu.

_73520070_73520069
Sepp Blatter (kushoto) na Dilma Rousseff (kulia) walizomewa na mashabiki katika mechi ya Brazil vs Japan, June mwaka jana

Mwaka jana, Rais wa Brazil, Dilma Rousseff alizomewa na mashabiki kwenye ufunguzi mechi ya ufunguzi ya Confederations Cup.

Waandamaji waliingia mtaani kwenye majiji ya Brazil muda mfupi kabla ya kombe hilo June 2013 kupinga vitendo vya rushwa na gharama kubwa za maandalizi ya kombe la dunia na mashindano Olympics yatakayofanyika, Rio de Janeiro.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents