Habari

BREAKING: Basi la klabu ya Simba lapata ajali Zambia baada ya kugongana na lori

Basi la klabu ya Simba limepata ajali nchini Zambia likiwa limebeba mashabiki wa timu hiyo kuelekea mjini Ndola.

Basi hilo lilobeba mashabiki limegongana na roli maeneo ya Kapiri mposhi nchini Zambia wakielekea kwenye mechi ya Simba dhidi ya Nkana.

Taarifa zinaeleza kuwa basi hilo limepata ajali kilomita chache kutoka Mji wa Ndola baada ya kugongana na roli hiyo huku ikielezwa kuwa mashabiki wa chache wamepata michubuko lakini hakuna madhara zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents