Uncategorized
BREAKING: Basi la mwendo kasi lawaka moto Ubungo (+video)
Moja kati ya mabasi ya mwendo kasi limewaka moto katika moja ya Injini zake maeneo ya Ubungo kituo cha Ubungo Maji, hata hivyo zimamoto walitokea na kufanya shukhuli za uzimaji.