Burudani

Lupita Nyong’o ashinda tuzo ya Oscar ya ‘Best Supporting Actress’

Muigizaji wa Kenya, Lupita Nyong’o Alfajiri ya leo ameshinda tuzo ya Oscar ya muigizaji bora msaidizi wa kike kwa uhusika wake kama Patsey kwenye filamu ya 12 Years a Slave.

Lupita+Nyong+o+86th+Annual+Academy+Awards+06nQ0wGEAoSl

Nyong’o, 31, aliyeshinda tuzo ya Oscar kwenye filamu yake hiyo ya kwanza alipata shangwe za nguvu baada ya kutajwa kuwa mshindi.

Lupita+Nyong+o+Arrivals+86th+Annual+Academy+7fDugk2rpLDl

Lupita+Nyong+o+Arrivals+86th+Annual+Academy+Es2E157Urvdl
Lupita akiwa kwenye red carpet ya Oscar

Amemshinda muigizaji mwenzie Jennifer Lawrence wa American Hustle” aliyekuwa akitajwa zaidi kuichukua tuzo hiyo. “Yes!” muigizaji huyo alisikika akisema wakati akipokea tuzo hiyo huku akimkumbatia kaka yake, muongozaji wa 12 Years a Slave, Steve McQueen na waigizaji wengine wa filamu hiyo.

Lupita+Nyong+o+86th+Annual+Academy+Awards+X-ZsM00Ufkkl

Tuzo hiyo inamweka Lupita kwenye nafasi ya juu kabisa ya mafanikio kwenye Hollywood.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents