Habari

Breaking News: Rafael Benitez ateuliwa kuwa kocha wa Chelsea

Baada ya kufungashiwa virago kwa Roberto Di Matteo toka kwenye kibarua chake cha Chelsea, habari mpya ni kuwa aliyekuwa kocha wa Liverpol Rafael Benitez ameteuliwa kuwa kocha wa timu hiyo.

Rafael Benitez amesaini deal la miezi 18 kama kocha wa Chelsea.

Haya ni maelezo ya : “Chelsea Football Club can confirm Rafael Benitez has been appointed interim first-team manager until the end of the season. The owner and the Board believe that in Benitez we have a manager with significant experience at the highest level of football, who can come in and immediately help deliver our objectives. The 52-year-old Spaniard is due to meet the players at the training ground in Cobham tomorrow.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents