Michezo

Breaking: Neymar aumia mazoezini, Kocha na wachezaji wa Brazil washikwa na butwaa (+video)

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Brazil, Neymar leo jioni ameumia kwenye kifundo cha mguu akiwa mazoezini na wachezaji wenzake.

Kwa mujibu wa taarifa za awali zilizotolewa jioni hii na shirika la habari la ESPN zimeeleza kuwa Neymar amejitonesha kwenye enka ambayo aliumia mapema mwaka huu.

Tayari kocha wa timu ya Brazil, amethibitisha taarifa hizo na amedai kuwa mchezo unaokuja ana uhakikawa kucheza kwa asilimia 80.

https://youtu.be/HOvlucdY2ec

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents