Tupo Nawe

Breaking: Uongozi wa Fiesta wasitisha kufanya tamasha hilo leo Novemba 24

Uongozi wa Clouds Media kupitia kamati ya maandalizi ya Tigo Fiesta mwaka 2018 imetangaza kusitisha tukio la kilele cha msimu wa Tigo Fiesta 2018 lililopaswa kufanyika leo Novemba 24, mwaka 2018 katika viwanja vywa Leaders Kinondoni Dar es salaam.

 

Hata hivyo hapo jana kulikuwa na tetesi kupitia barua ambayo haikuthibitishwa kuwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ilikatisha kibali cha kufanyika Fiester Leaders Club Dar es salaam kufuatia ofisi kupokea malalamiko ya wananchi na wagonjwa waliyolazwa hospitalini kutokana na matangazo yaliyoambatana na muziki uliyopigwa kwa sauti kubwa.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW