Habari

Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron kujiuzulu

Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron ametangaza atajiuzulu wadhifa huo October mwaka huu.

359D4CF400000578-0-image-a-10_1466753618510

Amechukua hatua hiyo baada ya Waingereza wengi kupiga kura ya kujiondoa kwenye umoja wa Ulaya, EU. Cameron amesema amekubali uamuzi wa zoezi aliloliita la demokrasia kubwa.

359D551900000578-3657160-image-a-25_1466753748929
Cameron na mke wake Samantha

Akiwa na mke wake, Samantha huko Downing Street, Cameron amesema amejivunia kuwa waziri mkuu kwa miaka sita.

359D4E7700000578-0-image-m-9_1466753612203
Mrs Cameron

Lakini amesema isingekuwa sahihi yeye kuendelea kuwa ‘nahodha wa meli’ kama UK imeamua kujiondoa EU.

359D50C400000578-3657160-image-a-3_1466753460560

“Huu si uamuzi niliochukua kirahisi lakini naamini kuwa ni kwaajili ya faida ya taifa kuwa na muda wa umadhubuti na kisha utawala mpya unahitajika,” alisema huku akilengwa na machozi.

Upande wa kambi ya Leave Campaign ni furaha tu lakini.

359CB79000000578-3657160-image-a-150_1466747332191

359AAAE200000578-3657421-image-a-50_1466725139810

359AB7D400000578-3657421-image-a-94_1466727339954

359B1A3800000578-3657421-image-m-77_1466733350078

359C6C1C00000578-3657421-image-m-115_1466740317045

359C711500000578-3657421-image-a-117_1466740389192

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents