Burudani

Bright afunguka kuhusu Vanessa Mdee, ‘kumpenda siyo dhambi’ (+video)

Baada ya hapo awali Bright kueleza hisia zake kwa Vanessa Mdee kisha kufuatia ukimya, Bright amejibu kinachoendelea.

Muimbaji huyo amesema mipango yake kwa Vanessa ameisitisha kwanza kwa sababu anahitaji kujikita zaidi katika muziki wake.

“Sasa hivi sifirii hicho kitu lakini watu wanasema unaweza ukafa na dream, kwa hiyo kwangu mimi kumpenda mtu siyo dhambi. Wazo lipo lakini sasa hivi nime-keep busy kwenye muziki, Bright anatakiwa akue, afanye kolabo za kimataifa” amesema.

“Tushaonana na tunapiga story kawaida, hatujawahi kuzungumzia mapenzi tunaongea ishu za kazi kwanza tu” Bright ameiambia Bongo5.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents