Burudani

BSS Watembelea TBL

bss_tbl1

 

Meneja wa bia ya Kilimanjaro, Kavishe aliwakaribisha washiriki wa Bongo Star Search (BSS) walioingia  kumi/bora na wale wa tano bora ambao watachuana Ijumaa wiki hii kupata mshindi, walipotembelea kiwanda cha kampuni ya bia Tanzania (TBL), leo. Wanne kulia ni Mpishi Mkuu wa Kilimanjaro, Kelvin Nkya.

bss_tbl2

Washiriki wa BSS walioingia tano bora wakiwa katika picha ya apamoja na Kavishe na Kelvin

bss_tbl3

Mpishi Mkuu akiwapa maelekezo kuhusu palivyo ndani  ya kiwa nda  hicho

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents