Habari

Bunge kupokea maoni juu ya miswada ya sheria za ulindaji wa rasilimali za nchi

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Thomas Kashililah anautangazia umma kuwa tarehe 1 siku ya Jumamosi katika viwanja vya bunge mjini Dodoma, Kamati za bunge zitafanya zoezi la kukusanya maoni ya wadau.

Soma taarifa kamili:

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents