Habari

Bunge la Rwanda lakipitisha Kiswahili kuwa lugha rasmi ya taifa

Wabunge nchini Rwanda jana waliipitisha sheria ya kukifanya Kiswahili kuwa lugha ya rasmi.

Kiswahili kitaungana na Kinyarwanda, Kiingereza na Kifaransa, kama lugha ya nne rasmi ya nchi hiyo. Kwa sasa lugha hiyo itatumika kwenye shughuli za uongozi na kitaonekana kwenye baadhi ya nyaraka za kiofisi.

Lugha hiyo pia itaingia kwenye mitaala ya elimu.

Bofya hapa kusoma taarifa hiyo kwa kina.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents