Habari

Bunge laahirishwa hadi mwakani

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amehairisha vikao vya Bunge la 11 mkutano wa 9 leo Mjini Dodoma hadi tarehe 30, mwezi wa 1 mwaka 2018 siku ya Jumanne.

Waziri Majaliwa amehairisha vikao hivyo wakati akitoa hoja za Kuhairishwa kwa Bunge Mjini humo.

“Mhe. Spika baada ya kusema hayo naomba kutoa haja kuwa bunge lako tukufu sasa lihairishwe hadi tarehe 30 siku ya Jumanne mwezi wa 1 mwaka 2018. Mhe. Spika naomba kutoa hoja,” amesema Waziri Mkuu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents