Habari

Bunge lahairishwa rasmi hadi Septemba (+video)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amehairisha Bunge leo,Juni 29,2018 hadi tarehe 4 Septemba, 2018 Siku ya Jumanne) saa 3 kamili asubuhi.

Waziri Mkuu ameyasema hayo wakati akihairisha hoja ya Bunge, Jijini Dodoma.

“Naomba kutoa hoja kuwa Bunge lako lihairishwe hadi tarehe 4,Septemba 2018 siku ya Jumanne saa kamili asubuhi tutakapo kutana tena hapa kwenye ukumbi huuwa jijini Dodoma, Mh. Spika naomba kutoa hoja,” amesema Waziri mkuu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents