Habari

Bunge latoa ufafanuzi matibabu ya Mhe. Lissu

Ofisi ya Bunge imetoa ufafanuzi taarifa zinazo sambaa mtandaoni na baadhi ya wanasiasa zinaeleza kwamba Mhe. Spika ameliongopea bunge na Watanzania kuhusiana na gharama za kumsafirisha Mhe. Lissu kwenda mjini Nairobi nchini Kenya ambapo anafanyiwa matibabu. Ofisi ya Bunge imetolea ufafanuzi wa taarifa hizo.

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents