Habari

Burudani Kitaa: Weusi kufanya kazi na wasanii wa kimataifa, Martin Kadinda kuja na collection mpya 2014……(Audio)

Pata nafasi ya kusikiliza ‘Burudani Kitaa’ na Michael Lukindo wa East Africa Radio akizungumza na mastaa mbalimbali wa bongo akiwemo rapper Joh Makini anayezungumzia mipango ya weusi kufanya kazi na msanii wa kimataifa, mwana mitindo Martin Kadinda na mipango yake ya collection mpya mwaka 2014. Burudani kitaa pia ilizungumza na Cyrill Kamikaze. Isikilize hapa

[soundcloud url=”http://api.soundcloud.com/tracks/106729267″ params=”” width=” 100%” height=”166″ iframe=”true” /]

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents