Soka saa 24!

Burudani Miss Tanzania 2011

burudani_miss_akili_akicheza

Katika kumtafuta mshindi wa Voda com Miss Tanzania 2011, kulikuwa na burudani kutoka kwa wasanii mbalimbali ambao kwa pamoja waliunganisha nguvu zao na kutoa bunge la burudani kwenye viwanja hivyo vya Mlimani City, ambapo aliibuka mrembo mwenye namba 28.


Miongoni mwa wasanii ambao walikuja kufanya Show, ni Juliana wa Uganda, Akili, Saraha, Jah man, Babo Junior, Diamond, Tht na madencer huku wakiongozwa na Michael Jackson wa Bongo ambao kwa pamoja walifanya vizuri.

burudani_miss_akili_na_jah_man

burudani_miss_wako_jacko

burudani__mis_jackson

burudani_miss_bab

burudani_miss_babu_junior

 

burudani_miss_diamond

burudani_miss_diamond_akimalizia

burudani_miss_juliana

 

burudani_miss_tht

 

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW