Habari

Bwana Misosi afiwa na kaka yake anayemfuata

Rapper wa Tanga Joseph Rushahu aka Bwana Misosi amefiwa na kaka yake anayemfuata asubuhi ya leo. Katika ujumbe aliotutumia, Misosi amesema, “Kaka yangu mimi toka nitoke Emmanuel Rushahu kafariki leo mida ya saa 3 asubuhi hapa Muhimbili. Mungu kampenda zaidi, Amen.”

Bongo5 inampa pole Bwana Misosi kwa msiba huo wa kaka yake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents