Burudani

C. Bella afunguka ishu ya kujichubua, ‘hata Wabongo wanajichubua’

Msanii wa muziki Bongo, Christina Bella amefunguka taarifa za kuwahi kujichubua.

Muimbaji huyo ambaye asili yake ni nchini Congo amesema si kweli wasanii kutoka nchi hiyo wamekuwa na tabia ya kujichubua kama inavyokuwa ikienezwa bali ni tabia  ya mtu binafasi.

“Ukisema niongelee watu mimi sijui, hata wabongo wanajichubua, hata wanigeria, dunia nzima kuna mablack wengine wanaboost rangi” Bella ameiambaia Bongo5.

“Unaniuliza kuhusu wale watu wa Congo siwezi kuongelea na siyo Wacongo wote wanajichubua, katika nchi yoyote kuna baadhi ya watu wanatabia fulani, kuna nchi nyingine wahuni wapo wengi lakini siyo wote wapo hivyo” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents