BurudaniVideos

Cabo Snoop afunika Leaders

Eqipi_snoop_face

Msanii Cabo Snoop kutoka Angola jana amefanya mambo makubwa kwenye viwanja vya Leader Club katika tamasha la Zantel la Epiq Nation. Msanii huyo ambaye anatamba na wimbo wa Prakata Tumba, alisisimua shangwe kwa mashabi wake pindi alipopanda jukwaani

eqipic_adam

Adama Mchovu aka baba Johnny akiwa maduu katika pozi la pamoja.

eqipi_diamond2

Diamond alijirusha toka jukwaani hadi chini kufuata mashabiki wake, lakini ikawa balaa walivyomgombania kila mmoja akitaka kumshika.

eqipi_diamond

Hapa Diamond akiimba kabla ya kushuka jukwaani………..

Eqipi_dimond_Joket

Jokate akimuhoji Diamond

eqipi_madevu

eqipi_Gabo_snoop

Eqipi_Mataluma

Mwimbaji kutoka THT, Mataluma .

eqipi_asha_baraka

Eqipi_wasanii

Kizazi kipya cha muziki wa Bongo Fleva wakiwa kwenye pozi la pamoja.

Cabo Snoop akifanya vitu jukwaani

{hwdvs-player}id=1644|width=560|height=340|tpl=playeronly{/hwdvs-player}

{hwdvs-player}id=1645|width=560|height=340|tpl=playeronly{/hwdvs-player}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents