Michezo

CAF yatoa ratiba ya kombe la shirikisho, hii ndiyo timu iliyopangiwa na Yanga

Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) limeendesha droo ya timu zitakazo kutana kwenye hatua ya 16 bora kwenye kombe la shirikisho.

Shirikisho Afrika

Baada ya timu ya Yanga kutolewa na Al Ahly ya Misri kwa jumla ya magoli 3-2, Yanga wamepangiwa kucheza na Sagrada Esperanca ya nchini Angola, lakini kwenye hatua ya kwanza yanga wataanzia nyumbani.

Mechi zote za kwanza kwenye kombe hilo zitachezwa kati ya tarehe 6 na 8 ya mwezi ujao na hatua ya pili ya marudiano itafanyika kati ya tarehe 17 na 18 ya mwezi huo huo.

Hii ndiyo ratiba iliyotolewa na CAF:

MO Bejaia (Algeria) vs Esperance (Tunisia)

Stade Malien (Mali) vs FUS Rabat (Morocco)

Etoile du Sahel (Tunisia) vs CF Mounana (Gabon)

TP Mazembe (DR Congo) vs Stade Gabesien (Tunisia)

Ahli Tripoli (Libya) vs Misr Makassa (Egypt)

El Merreikh (Sudan) vs Kawkab (Morocco)

Young Africans (Tanzania) vs Sagrada Esperanca (Angola)

Mamelodi Sundowns (South Africa) vs Medeama (Ghana)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents