Burudani

Camp Mulla waja na wimbo mpya ‘Look @ Me Now’ (video)

Baada ya kutoa nyimbo za member mmoja mmoja kundi la Camp Mulla kutoka Kenya limerudi tena na wimbo mpya (Video) ‘Look @ Me Now’ waliowashirikisha Kanja na rapper kutoka Ghana Manifest.

Aliyekuwa first lady wa kundi hili Miss Karun ameonekana pia katika video ya wimbo huu ambayo ilitengenezwa kabla hajaachana na kundi miezi michache iliyopita.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents