Aisee DSTV!

Cardi B ajisalimisha mikononi mwa polisi, uchunguzi waendelea sakata lake na Nicki Minaj

Rapper wa kike kutoka Marekani Belcalis Marlenis Almanzar a.k.a Cardi B ameamua kujisalimisha mikononi mwa polisi ilkufanikisha uchunguzi wa tuhuma kuwa walipigana na Nicki Minaj mwezi uliopita wawili hao walipokutana katika maonyesho ya New York Fashion.

Hiki ndio kilichopelekea Nicki Minaj na Card B kutaka kudundana

Idara ya Polisi ya New York City imeiambia Radio 1 Newsbeat kwamba malipo yanategemea wawili hao kama wataridhiana.

Wawili hao walisadikika kudundana na kurushiana maneno makali katika eneo la Angels Strip Club huko New York huku watu tisa wakiripotiwa kuhojiwa na maafisa hao wa polisi juu ya sakata hilo.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW