Burudani

Cardi B akava jarida la Rolling Stone, ‘Siwezi kuamini’

Cardi B amefanikiwa kukava jarida la Rolling Stone ambapo ilikuwa ni moja ya ndoto yake kubwa ya miaka mingi.

Msanii huyo ambaye ameteka vichwa vya habari Marekani, amefunguka mambo kibao katika jarida hilo ikiwemo umaarufu alioupata sasa, ujio wa albam yake mpya, bifu zinazoendelea katika muziki, kuhusu mpenzi wake Offset na mambo mengie mengi.

Kupitia mtandao wake wa Instagram, Cardi amedai kuwa hajaamini tangu alipopokea simu a kutakiwa kutokea kwenye kava la jarida hilo maarufu duniani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents