Burudani

Cardi B apata dili kupitia ‘Bodak Yellow’

Rapper wa kike na mpenzi wa Offset, Cardi B kupata mashavu kupitia ngoma yake ya ‘Bodak Yellow’.


Ngoma ya mwanadada huyo ilivunja rekodi mwaka jana baada ya kukaa kileleni kwa wiki kadhaa katika chati za muziki ikiwemo ya Billboard Hot 100, kwa sasa ngoma hiyo imempa dili mrembo huyo kwani inatarajiwa kusikika katika filamu ya Money Moves.

Kwa muji buwa mtandao wa TMZ, umeripoti kuwa rapper huyo amelipwa zaidi ya dola laki moja na nusu ili ngoma yake hiyo iweze kusikika katika filamu hiyo inayotarajiwa kuanza kutengenezwa mapema mwezi Machi mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents