Burudani

Cardi B azidi kuwasha taa nyekundu Billboard Hot 100

Cardi B anazidi kufurahia mafanikio yake ambayo anazidi kuyapata katika kipindi kifupi cha muziki wake.

Rapper huyo ameendelea kushika namba moja kwenye chati za Billboard Hot 100 katika wiki yake ya pili mfululizo. Cardi aliweka rekodi hiyo baada ya kupita zaidi ya miaka 15 bila rapper yoyote wa kike kushika nafasi ya kwanza kwenye chati hizo.

Msanii huyo amewashukuru mashabiki wake kupitia mtandao wa Instagram kwa kuandika, “THANNNKKKK YOUUUU!!!!!! Everyyyyybodyyy .Im giving all my followers a Dollar…SIKEEEEEE!!!!…ain’t got money like that yet …Heyyyyy @ddlovato ????????.”

Hii ni orodha ya wasanii 10 ambao wanaongoza kwenye chati hizo.

1. Cardi B – “Bodak Yellow (Money Moves)”
2. Post Malone feat. 21 Savage – “rockstar”
3. Taylor Swift – “Look What You Made Me Do”
4. Logic feat. Alessia Cara & Khalid – “1-800-273-8255”
5. Luis Fonsi & Daddy Yankee feat. Justin Bieber – “Despacito”
6. French Montana feat. Swae Lee – “Unforgettable”
7. Portugal. The Man – “Feel It Still”
8. Imagine Dragons – “Believer”
9. Yo Gotti feat. Nicki Minaj – “Rake It Up”
10. Demi Lovato – “Sorry Not Sorry”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents