Burudani

Cassper Nyovest na K.O waongoza kwa nomination nyingi kwenye tuzo za Afrika Kusini, SAMA

Wasanii wa Hip Hop, Cassper Nyovest na K.O wamepata nominations nyingi zaidi kwenye South African Music Awards, SAMA.

cass

Cassper Nyovest, K.O na Beatenberg watapambana vikali kwenye tuzo hizo kumtambua msanii anayependwa zaidi nchini humo.

Watatu hao wametajwa kwenye vipngele vya Best Hip Hop, Best Album, Best Male Artist , Best Pop Album, Best Collaboration, Best Album, Best Duo/Group na Best Newcomer.

Naye rapper AKA ametajwa kuwania vipengele vya Best Collab, Best Rap Albumna Best Male Artist.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents