Habari

CCM yaitaka serikali kuwatia nguvuni waliohusika tukio la Mhe. Lissu

Chama cha Mapinduzi(CCM), kimesema kuwa wanachama wake na viongozi wa chama hicho wanaendelea kumuombea apone haraka mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu aliyejeruhiwa na risasi Septemba 7 kwa kupigwa risasi eneo la ‘area D’ mjini Dodoma na watu wasiojulikana, huku Chama hicho kimeitaka serikali kuwatia nguvuni na kuwachukulia hatua wote waliohusika na tukio hilo.

Soma taarifa kamili:

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents