Promotion

Chabo bado ni tatizo kwa wakazi wa Dar, Vodacom Tanzania waja na suluhisho (+video)

Kama wewe ni mtumiaji wa Vodacom na unahitaji smartphone lakini hauna hela yote ya kununulia kwa sasa, basi ondoa shaka kwa hilo kwani Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania imezindua huduma ya Wekesha inayomruhusu mteja wao kulipia simu ya kisasa ya mkononi kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu.

Mteja utalipia asilimia 10 ya bei ya simu husika na asilimia 90 utalipia kidogo kidogo ndani ya miezi mitatu.

Kwa mfano, kama unahitaji Tecno Faya ya 195,000, unaweza kulipia Tsh 19,500 na kumalizia Tsh 175,000 katika miezi 3

Nambari yako ya risiti ni namba yako ya simu, Unaweza pia kuwanunulia uwapandao kwa kujaza namba zao za simu kama risiti.

Piga *149*96# kufurahia mchongo huu. Yajayo yanaendelea kufurahisha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents