Habari

CHADEMA waishangaa serikali ‘ukiwa mpinzani haki yako ni kufa?’ (+video)

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeeleza kuwa kimeshangazwa na hatua ya serikali kushindwa kulaani na kutoa pole kufuatia kifo cha aliyekuwa katibu wa Chama hicho kata ya Hananasif, Daniel John, huku wakihoji Je, mtu wa upinzani akifariki hastahili kupewa pole au ni ndiyo hukumu yake.

Mstahiki Meya wa Ubungo, Boniface Jacob

Hayo yamesemwa leo Jumanne Februari 120, 2018 na Mstahiki Meya wa Ubungo, Boniface Jacob wakati viongozi wa CHADEMA wakiuaga mwili wa marehemu Daniel kwenye viunga vya kanisa la Parokia ya Mtakatifu Anna Hananasif, jimbo kuu katoliki Dar es salaam.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents