Habari

Chadema walaani mauaji Kibiti

Mwanyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(Chadema) kinalaani mauaji yanayoendelea katika mkoa wa Pwani.

Mhe. Mbowe amesema hayo leo ambapo amesema msimamo wa Chama hizo ni kulaani mauji kwa nguvu zote.

“Sisi kama Chama tunalaani mauaji yanayoendelea katika mkoa wa Pwani, msimamo wa Chama ni tunalaani mauaji kwa nguvu zote.” ameteet Mbowe kupitia ukurasa wake wa Tweeter.

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents