Burudani
Chaguo la Teeniez
AY na Marlaw wameshinda tunzo katika Chaguo la Teeniez zilizofanyika jijini Nairobi jana.
AY ameshinda tuunzo ya “Teeniez’ East African Act” wakati Marlaw amechukua tunzo ya “Most downlaoded song” kwa wimbo wake wa Pip pip.
Hongereni sana kwa kutuwakilisha na kuonesha mfano kwa wengine.