Habari

Chameleone amtumia mkewe Daniella ujumbe mtamu wa 5th Annivessary ya ndoa yao

Seems like true love is in the air kati ya mwanamuziki mkongwe wa Uganda Joseph Mayanja a.k.a Dr. Jose Chameleone na mkewe Daniella ambao wiki iliyopita (June 7) waliadhimisha miaka mitano ya ndoa yao.

Chameleone & Wife

Chameleone ambaye alifanikiwa kupata tuzo ya wimbo bora wa Afrika Mashariki katika KTMA 2013, alimtumia mkewe ujumbe mzito na mtamu mkewe Daniella ambaye hawakuweza kusheherekea pamoja siku hiyo muhimu kwao sababu Chamelione yuko ziarani Marekani.

Akielezea hisia zake kwa mama wa watoto wake Chameleone alitweet, “It’s five years since I found my other half. I love U Daniella,” na kuweka picha ya kumbukumbu ya ndoa yao.

Aliendelea kuwasilisha kile kilichoko moyoni mwake kwa mkewe “Siku kama hii katika kanisa la Bbina miaka 5 iliyopita, tulifunga ndoa , tuliweka nadhiri na nia katika yale maneno ya :”. Katika nyakati za shida na raha, kweli timeshare nyakati nzuri za maisha yetu tukiwa pamoja, na hata mbaya pia na tutaendelea hivyo mpaka kifo kitakapotutenganisha”.

Mayanja hakuishia hapo aliendelea na ujumbe wake wa annivessary kwa mkwewe “Daniella, you are more than a rib to me, you are my best friend, my consultant, you are my life. Thanks for loving me, thanks for tolerating me, thanks for being the greatest mom I would ever wish for my children and thanks for always standing by me.”

Badilisha hit maker hakuishia hapo, alimweleza Daniella kuwa hata umri unavyozidi kwenda hakuna kitu kitakachokuja kubadilika katika mapenzi yao ataendelea kufall in love naye.

“Happy 5th wedding anniversary. I miss you and our kids so so much…. As we grow older together, As we continue to change with age, there is one thing that will never change. . . I will always keep falling in love with you…..”

Daniella is a lucky woman isn’t she? Pamoja na ukubwa wa jina la Chameleone ameweza kuweka ego pembeni na kumtumia ujumbe mwenza wake kupitia twitter na ulimwengu wote ukiwa mashuhuda.

Hizi ni baadhi ya comments za watu mbalimbali wa Uganda baada ya message hiyo ya Chameleone kwa mkewe;

-Wooooow How good to know that yo appreciated by the person you love the most on earth. am SO happy for you Chamilli and Daniella and my the almighty God lead you to where you want this relationship to take the both of you. Big Up

-Happy 5 years, Mr and Mrs Mayanja! It is stumbles that build a relationship to celebrate. No matter where you fail, it’s normal to have such success and have no control. You inspire me and no matter how I have tried to hate you for the uneven deeds I see your struggle to keep famili bonded. I wish you a happy life and be stronger don’t let forces drive you. Happy 5 years Mutono Mutono Daniella. You got a charismatic husband!

-Why tweet your wedding anniversary message to your dear wife ??? This shd be an intimate private message that is for her eyes only.I know we thrive in the dotcom era, but okujjako amaalo,certain things shd still be done the proper way. Yet again kano akasajja has fallen way below normal standards. I feel sorry for Daniella,she has had to endure more embarrasement than any other married woman in the lime light. Akasajja lacks everything from empisa all the way to common sense

– Amos,you sound like a sour grape,what did my man do to you that you pitifully put your self in my shoes?.dont worry abt me cos you can be sure that my family taught me how to “ride a bicycle ” that belongs to me.am not complaining and unfortunately for you,you ll only stop at knowing the chameleone the public has made you believe he is,I know before and beyond that and for me I wd never trade him got anyone else,he is all I wd ever ask God for a husband and father of my kids.so stop pitying me cos I do the same for you,I pity you for judging a man out of fanatic bias.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents