Habari

Chamellion aja na Remix ya Bring it on

Josse_Chammilion2

Mwanamuzki Josse Chamellion wa Uganda ameachia ngoma mpya Desemba 5, akiwa na mwanamuziki mwenzake wa nchi hiyo Pallaso ikiwa ni Remix ya wimbo wa Bring it on. mwanamuzki huyo hivi sasa hari yake inazidi kuwa juu katika maisha ya kimuziki, na kuwa miongoni mwa wanamuziki wakubwa wenye fedha nchini Uganda na Afrika mashariki.

 

Josse_Chamillion

Jose Chamellion feat Pallaso -Bring it on

{mmp}JosechamelioneftpallasobringItonremix.mp3{/mmp3}

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents