Habari

Champions League: Chelsea watwaa ubingwa wa Ulaya


Chelsea wamefanikiwa kunjinyakulia kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya, kwa mara ya kwanza katika historia ya klabu hiyo, baada ya kuifunga Bayern Munich kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya 1-1 ndani ya dakika 120 katika uwanja wa Allianz Arena jijini Munich, Ujerumani.

Cech na Drogba wakifurahia ushinidi huo wa kihistoria kwao
Ingawa kutakuwa na mengi ya kusemwa, pamoja na Bayern Munich kutawala mechi hiyo Chelsea wameibuka mabingwa na mpira ndivyo ulivyo.
Hongereni the Blues!

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents