Burudani

Chaz baba apata acedent ya kuunguliwa

Chaz_na_Suzy2
Mwanamuziki kutoka katika kundi la African Stars wana wa kutwanga na kupepeta Chaz Baba, ametaoa taarifa kwamba alhamisi ya jana aliunguliwa na baadhi ya vitu vyake, katika nyumba anayoishi maeneo ya Kinondoni block 41.   amesema moto huo


umeanza usiku kutokana na bilika la maji linalotumia umeme kupiga shoti na hatmaye kuwaka moto, lakini uliwahi kuzimwa kabla haujasambaa kuelekea vyumba vingine.

Amesema vitu vilivyokuwa vimeungua ni vitu vichache, ikiwemo pasi ya umeme, mashine ya ya kufanyia usafi na vingine vidogo vidogo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents