Cheed na killy waeleza dhamira ya kuondoka Kings music na kujiunga Konde Gang ya Harmonize (+Video)

Wasanii hao ambao walitambulishw asiku kadhaa nyuma leo wameongea kwa mara ya kwanza na kueleza dhamira yao ya kujiunga na lebo hiyo ambayo ina wasanii 6 mpaka hivi sasa.

Cheed na Killy wanakamilisha idadi ya wasanii 6 wakiwemo Harmonize Ibrah, Skales kutoka Nigeria na Country Boy ambaye ametambulishw aleo na kukabidhiwa gari yake mpya.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW