Burudani

Cheed wa Kings ya Alikiba kuhusu kolabo ya wasanii wa WCB “Hii ni biashara uongozi ukipitisha tunafanya” (VIDEO)

Msanii kutoka label ya King Music ya Alikiba, Cheed ambaye ameachia kolabo ya wimbo ForYou na msanii Marioo amefunguka kuhusu muziki wake pamoja na mambo mbalimbali. Muiambaji huyo amekiri kwamba wapo watu ambao walikuwa wanawachukulia poa wasanii King wakati wanaanza kutoka, lakini wao hawakujali hilo ndio maana wameweza kutoboa na kuwathibitishia kwamba wanaweza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents