Burudani

Chege atua South kushoot video na Justin Campos

Chege Chigunda amewasili nchini Afrika Kusini kwaajili ya maandalizi ya video yake mpya ya wimbo ‘Sweety Sweety’ aliyowashirikisha Runtown pamoja na Uhuru.

12107423_1245323238828138_2056730467_n

Akizungumza na Bongo5 akiwa nchini Afrika Kusini, Chege alisema kila kitu kinaenda sawa na muongozaji Justin campos kutoka kwa Gorilla Films ndio ataongoza video hiyo.

“Ndio tupo kwenye maandalizi ya video niliyomshirikisha, Runtown na Uhuru,” Chege ameiambia Bongo5. Hizi ni baadhi ya picha zao.

12080466_1664830613761980_126795498_n

12070937_446711045521207_1481128763_n

12132827_172621776415711_1686600440_n

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents