Burudani

Chege, Temba na Mataluma kuongeza nguvu Twanga

twanga_waimbaji_face

Bendi ya Twanga Pepeta imeongeza, wasanii Chegge, Mheshimiwa Temba na Mataluma kwa ajili ya kutoa burudani katika Tamasha la Twanga Pepeta linalotaraji kufanyika siku ya Jumapili tarehe 06-Novemba-2011 katika viwanja vya Leaders Club vilivyopo Kinondoni.


Tamasha hilo litakuwa ni kwa ajili ya Uzinduzi wa Albamu mpya ya Twanga Pepeta iitwayo Dunia Daraja na kusherehekea miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara.
twanga_waimbaji

Hawa ndiyo walioshirikiana kukamilisha wimbo wa Dunia daraja, akianzia kushoto wanataga kocha wa Dunia, Mwijuma muumini,  Chaz Baba, Luiza Mbutu (Anayefuata jina limenipotea) wa mwisho ni Dogo Rama.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents