Habari

Cheki Lil Kim alivyobadilika!


Aliyekua Demu wa Notorious BIG, Rapper kutoka Brooklyn New York, Lil Kim aka Queen B, anazidi kubadilika muonekano wake kimaumbile na hasa usoni pale anapozidi kua mweupe zaidi ya kawaida.
Kim amekiri kufanya upasuaji wa kuongeza maziwa, kurekebisha pua yake. wadau waliyokaribu na Kim wamesema kwamba Rapper huyo anatumia dawa za kuwa mweupe.

Fansa wa Kim wamekua na hisia tofauti wa muonekano wa star huyu huku wengine wakiona ni sawa anavyojibadilisha lakini wengi wakiwa hawajapendezwa na mwanamama huyo mwenye beef na Nicki Minaj kuzidi kuonekana kama Micheal Jackson Flani!
mdau unaionaje hii?

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents