Michezo

Chelsea Jeuri ya Pesa.

 

Chelsea imezidi kumtamanisha Mbrazil Neymar kwa kuahidi kumlipa mshahara wa paund 55,000 kwa wiki.


Klabu ya Santos imemzuia mchezaji huyo kutokuondoka lakini ina wakati mgumu kutoka na na klabu ya Chelsea kutumia nguvu ya pesa kumshawishi.

Santos hivi karibuni ilifanya mazungumzo na wakala wa mchezaji huyo na wawekezaji wanaomiliki haki za Neymar.Jitihada za klabu hiyo zimekwama licha ya kuahidi kumlipa kiasi cha paund 40,000 kwa wiki. Chelsea pia iko tayari kutoa ada ya paund milioni 25 ili kumsajili Yosso hUyo.

Ofa hiyo imekuja wakati Yosso huyo akiwa na presha kubwa ya kutakiwa kutoondoka ikitokea kwa Pele,Mario Zangalo na kocha wa sasa wa Brazil Mamo Menezes.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents