Michezo

Chelsea walistahili kupewa penati – Graham Poll (Picha)

Baada ya kocha wa Chelsea kulalamika kuwa walistahili kupewa penati kwenye mchezo wa jana dhidi ya Manchester United, aliyekuwa mwamuzi wa michezo ya ligi kuu ya soka nchini Uingereza, Graham Poll, amemkosoa mwamuzi aliyechezesha mchezo huo Philip Dowd kuwa hakutenda haki.

1414346759445_wps_6_epa04464956_Manchester_Un

Poll, amesema ameufuatilia kwa umakini mchezo huo na kubaini Philip Dowd hakuitendea haki Chelsea kwa kuwanyima penati ya wazi ambayo kila mmoja alishuhudia tukio hilo.

1414346781491_wps_8_Manchester_United_s_Chris

Chelsea walikuwa wa kwanza kupata bao lililofungwa na Didier Drogba na baadaye Robin Van Parsie aliifungua Man United bao la kusawazisha katika dakika za majeruhi.

1414347804502_wps_37_Manchester_United_v_Chels

1414346596699_wps_3_epa04464957_Manchester_Un

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents