Michezo

Chelsea wapata ushindi wa EPL dhidi ya West Ham msimu wa 2016/2017

Klabu ya Chelsea chini ya kocha wao mpya Antonio Conte aliwakaribisha West Ham United katika uwanja wa Stamford Bridge.

article-3742126-37463D7200000578-871_964x390

3744095F00000578-3742126-image-a-88_1471293810649

Chelsea wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1, Chelsea walipata goli la kwanza dakika ya 47 kwa mkwaju wa penati kupitia kwa Eden Hazard ila James Collins alifanikiwa kuisawazishia West Ham dakika ya 77, dakika ya 89 Diego Costa aliipa Chelsea ushindi kwa kupachika goli la pili.

Huu ndo msimamo ulivyo sasa

epl-standing

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents