Michezo

Chelsea yanasa saini ya beki kisiki wa Roma, Emerson Palmieri

Beki wa Roma, Emerson Palmieri amekamilisha usajili wa paundi milioni 17.5 kujiunga na Chelsea.

Palmieri ameposti picha zake zikionyesha akiwa na jezi ya Chelsea hapo jana siku ya Jumanne jioni kufuatia kukamilisha vipimo vya afya. Mbrazili huyo amesaini jezi namba 33, ndani ya Chelsea.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka, 23  amesema kuwa amejiunga na timu hiyo kutokana na historia nzuri iliyokuwa nayo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents