Burudani

Chemical ateswa na video za ‘VIP’ na ‘Party’

Kwa sasa ukiachia wimbo bila ya kichupa, mashabiki wanakuwa hawakuelewi. Rapper wa kike Bongo, Chemical amewatoa wasiwasi mashabiki kuhusu nyimbo zake ambazo hajawahi kuzifanyia video.

Rapper huyo ameiambia Bongo5 kwamba bado yupo kwenye mipango ya kuachia video ya nyimbo ya ‘VIP’ na ‘Party’

“Tulisema hizo video tutaziachia bila ya kuangalia nimeachia project gani kwa sasa hivi, tutatoa hizo video. Nyimbo kama ‘VIP’ nimepata comments nyingi sana watu wanaomba, na pia madirector’s wanaiomba tuifanyie video na mashabiki wanatamani waione,” amesema.

“VIP is a huge song mpaka leo, na kwangu mimi hiyo ndio my favourite song na ninaamini by the time ambayo tutaiachia video, huo wimbo utarudi na watu wataujua vizuri,” ameongeza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents