Burudani
Chereko Chereko Video Launch June 8 Maisha Club
Uzinduzi wa Video mpya ya CPwaa “Chereko Chereko” utafanyika Jumapili hii (8/6/2014) ndani ya New Maisha Club Club. sambamba na uzinduzi huo kundi la wasanii wa kizazi kipya “Wadananda” litatambulisha wimbo wao mpya uitwao “Kidaluse”.
Watakaosindikiza usiku huo ni pamoja na:
Dullayo, Spince Senseme,Wakazi,Dknob,Country Boy,Young Suma,Msami,Gnex, The B est of Kino na The chocolate Dancers.