Michezo
Chid Benz apanda Ulingoni, Bondia wake ampiga mtu mpaka ashindwa kuamka (+Video)
Chid Benz alikuwepo kumsindikiza Tony Rashid kabla na baada ya ushindi dhidi Yamikana Mkandawire wa Malawi. Chid alishusha burudani ya kibao chake maarufu cha ‘Dar es Salaam Stand up’